UMEPOTELEA WAPI MPENZI

stock-photo-766039

(Kiswahili Poem. Translation below it)

Roho yangu yanyauka kama jangwa
Baridi limezidi siwezi vumilia
Wajua vile usiku umekuwa mrefu
Ndoto ni sumbufu mno
Roho yauma, mwili umenyauka
Tangu uniache bila sababu
Nilidhani wewe ni wangu bila shaka
Jamani rudi nyumbani

Kipenzi cha nafsi yangu
Nimeshindwa kuficha jinsi ninavyo kuhitaji
Unajua bila wewe sifahamu chochote
Baridi lanipiga kitandani
Nikiwaza jinsi kitanda kilitupokea kwa shangwe
Sitamani mtu mwingine ila wewe
Nawashwa na upweke sijui nifanye nini bila wewe
Siwezi ishi kama hupo na mimi
Nawaza vile umeshinda bila mimi karibu
Ni nani anakupenda huko nje ulikokwenda, busu wapata kutoka nani
Nani anaelewa jinsi unavyopenda chakula chako
Najua uvumilivu wako kwangu karibu uishe
Hakuna anayejua kunipa mahaba kamili
Nivumilie tuu, Nipende tuu, Nikumbatie tuu
Niimbie zile nyimbo zetu za mapenzi ya kweli
Mpenzi nyoosha mkono wako niuchukue
Nakupenda, siwezi kuwacha
Umepotelea wapi mpenzi

Translation…
WHERE DID YOU DISAPPEAR TO MY LOVE

My heart is shriveling like a desert, the cold too much i cannot handle it
Do you know how long the night has been
Dreams are disturbing, my heart is aching, body is shrinking
Since you left me without reason
I thought you were mine without a doubt
Please come back home, lover of my soul
I cannot hide how much i need you
Do you know without you i don’t know anything
Cold keeps beating me in bed
When i think how our bed received us in celebration
I don’t need anybody else but you, loneliness keeps nagging me
I dont know what to do without you
I cannot live if you’re not with me
I keep wondering how you’ve been without me near
Who’s loving you, who’s kissing you
Who understands how you love your food
I know your patience with me is almost gone
Nobody else knows how to make love to me
Be patient with me, Love me, Embrace me
Sing for me love songs that are true
My love stretch your hand to me so i take it
I love you, i can’t live without you
Where did you disappear to my love

Copyright March 2016

Mulunga Alukwe

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s