MAPENZI YAKO (YOUR LOVE)

Great-Migration-2.jpg

Kiswahili poem with translation
Mpenzi wa roho yangu (Lover of my heart)
Mapenzi haya yako (Your love for me)
Siyajui (I don’t know it)
Nikikutazama machoni (When i look into your eyes)
Machozi hunidondokea (Tears fall from them)
Nikumbatie (Embrace me)
Hadi upweke wote uishe (Until loneliness ends)

Kama maji baridi (Like cold water)
Yanavyotiririka mwilini (Drizzles down my body)
Wewe hunituliza vilivyo (You calm me completely)
Waridi la moyo wangu (My heart’s rose flower)
Milele hunyauki (Forever you never dry up)
Muujiza wa maisha yangu (My life’s miracle)
Utamu wa pendo lako (The sweetness of your love)
Hunitembeza jangwani (Walks with me in the desert)
Mikono yako iliundwa (Your hands were made)
Kunifunika mimi pekee yangu (To cover only me)
Ndotoni sikosi kukutazama (I never miss dreaming of you)
Nifunguapo macho (When i open my eyes)
Mbele yangu hutoki (You never leave me)

Copyright October 2015

Mulunga Alukwe

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s