MAPENZI YETU

tumblr_npaxtqMDNr1smk873o1_1280

(Kiswahili Poem)

Busu lako lanitia wazimu
Natamani uwe wangu
Usiniache na kiu baada ya kuniloweza
Maisha naishi kwa upendo wako
Lepe la usingizi sipati usiku wote
Mchana nakuhitaji
Kama ardhi inavyotamani maji jangwani
Roho yaniuma ukienda
Continue reading “MAPENZI YETU”

NI WEWE

442023.TIF

(Kiswahili Poem)

Nakutuliza moyoni
Ulinipenda na moyo wako wote
Ukanipa mahaba ya kutosha
Ambayo yaniloweza hadi sitamani yaishe
Penzi lako latuloza mawazo yangu
Mvua inyeshapo
Giza likiingia mawinguni
Unawasha taa na pendo lako
Continue reading “NI WEWE”

MAPENZI YAKO (YOUR LOVE)

Great-Migration-2.jpg

Kiswahili poem with translation
Mpenzi wa roho yangu (Lover of my heart)
Mapenzi haya yako (Your love for me)
Siyajui (I don’t know it)
Nikikutazama machoni (When i look into your eyes)
Machozi hunidondokea (Tears fall from them)
Nikumbatie (Embrace me)
Hadi upweke wote uishe (Until loneliness ends)
Continue reading “MAPENZI YAKO (YOUR LOVE)”

UMEPOTELEA WAPI MPENZI

stock-photo-766039

(Kiswahili Poem. Translation below it)

Roho yangu yanyauka kama jangwa
Baridi limezidi siwezi vumilia
Wajua vile usiku umekuwa mrefu
Ndoto ni sumbufu mno
Roho yauma, mwili umenyauka
Tangu uniache bila sababu
Nilidhani wewe ni wangu bila shaka
Jamani rudi nyumbani
Continue reading “UMEPOTELEA WAPI MPENZI”